Matthew 14:25

25Wakati wa zamu ya nne ya usiku,
Zamu ya nne ya usiku ni kati ya saa tisa na saa kumi na mbili asubuhi.
Yesu akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu ya maji.
Copyright information for SwhNEN